
Serikali, Wananchi Wavutana Kuhusu Uhalali wa Kukalia Eneo la Ranchi ya Zanzibar Bagamoyo – RAZABA
Wananchi wameahidi kutoondoka kwenye eneo hilo bila fidia ambayo Serikali imegoma kulipa, ikisema haiwezi kulipa fidia kwa wavamizi.

Wananchi wameahidi kutoondoka kwenye eneo hilo bila fidia ambayo Serikali imegoma kulipa, ikisema haiwezi kulipa fidia kwa wavamizi.

Wanataka umri wa kugombea ubunge, udiwani na uenyekiti wa Serikali ya Mtaa upunguzwe kutoka wa sasa 21 mpaka 18.

Wanawake wanaamini kwamba umiliki wa ardhi kisheria utawasaidia katika jitihada zao za kukabiliana na ukatili wa kijinsia unaotajwa kutamalaki visiwani humo.

In our briefing today: The future is cultivated: How the AGRF 2023 in Dar es Salaam could change Africa’s destiny; Fuel prices soar as fuel queues emerge in various towns; African women demand Africa Climate Week: ‘We refuse to be tokenised’; Nay Wa Mitego: Artist who speaks truth to power battles with authorities’ attempts to ‘silence’ him; Black Rock sign offtake deal with POSCO for Tanzanian graphite project; Tanzania Energy Congress 2023 hosts Oman JSRS eMarketplace.

Authorities have banned several of his songs; now they’re allegedly targeting his live performances.

They want their voices heard and their actions to be a beacon of hope for a sustainable and just future for all.

The summit is not just another event; it is a moral and economic imperative for a continent teetering on the precipice of unrealised potential.

Changamoto ya uhaba wa vyumba vya madarasa imelalamikiwa na walimu na wanafunzi kuathiri ufundishaji na ujifunzaji Zanzibar.

In our briefing today: Africa Climate Summit 2023: Will Africa have one voice?; Ruto, Adesina: Africa’s youth biggest asset for the continent, world; Tanzania to introduce weight-based beef cattle selling system; Africa Food System Forum 2023 kicks off in Dar; USAID’s Isobel Coleman visits Tanzania, Malawi.

Hundreds of young people from across Africa are demanding a significant role in decision-making for climate action.