
Angela Merkel: Sauti Iliyovuma, Kuheshimiwa Barani Ulaya na Kwengineko
Kansela huyo wa kwanza mwanamke nchini Ujerumani anategemewa kuachia ngazi mwisho mwa mwaka huu baada ya kulitumikia taifa hilo la Ulaya kwa kipindi cha miaka 16.

Kansela huyo wa kwanza mwanamke nchini Ujerumani anategemewa kuachia ngazi mwisho mwa mwaka huu baada ya kulitumikia taifa hilo la Ulaya kwa kipindi cha miaka 16.

Nje ya siasa na harakati, Catherine anatumia muda mwingi na watoto wake, anasema pia anakipenda sana kitanda chake.

Uelewa wa tatizo la afya ya akili Tanzania bado ni mdogo, wengi huhusisha tatizo hilo na imani za kishirikina.

Serikali na Mahakama zabainisha madai ya bibi huyo dhidi ya mtoto wake hayana ukweli wowote.

Fwema becomes the first cartoonist to face prosecution for his works in a post-independent Tanzania.

Kada huyo wa CCM anasema moja ya sababu ya kuingia kwenye vyama vingi ni kusikiliza maoni ya watu

Shirika hilo linasema katazo hilo linawanyima washichana haki yao ya kupata elimu kwa kuwabagua na kuwanyanyapaa.

Programu ya EMA-i hutumika katika uangalizi na utoaji wa taarifa zinazohusiana na magonjwa mbali mbali.

Serikali imekuwa ikiwashangilia raia wenye asili ya Tanzania wanapofanya vizuri ughaibuni lakini imekuwa nzito kuwapatia raia hao hadhi ya uraia pacha.

Dar es Salaam. Kuna changamoto nyingi sana zinazowakabili watu wanaoishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI nchini Tanzania. Na jitihada nyingi zinachukuliwa kuhakikisha kwamba changamoto