
Mtandao Warudishwa, Watanzania Waomboleza Vifo vya Wapendwa Wao
Sehemu kubwa ya jumbe ambazo zinaendelea kusambazwa mtandaoni ni zile za watu kuomboleza juu ya wapendwa wao waliofariki kwa kupigwa risasi na watumishi wa vyombo vya ulinzi katika maeneo mbalimbali ya Tanzania







