
Ado Shaibu: Ninavyomfahamu Richard Mabala, Mwalimu Hodari, Mwanaharakati Machachari
Alikuja Tanzania akidhani atakaa kwa miezi michache tu, akavutiwa kubaki na mpaka kuacha uraia wake wa Uingereza na kuwa Mtanzania kamili.
Alikuja Tanzania akidhani atakaa kwa miezi michache tu, akavutiwa kubaki na mpaka kuacha uraia wake wa Uingereza na kuwa Mtanzania kamili.
Tusiangalie takwimu tu, tujue kwamba kila tarakimu ya mtoto aliyekosa fursa ya kujiendeleza kielimu ni mtoto mwenye ndoto yake.
Unashangilia mafanikio, ndiyo, lakini ungekuwa unaogopa kutoa maoni yako kama unaona mafanikio hayapatikani?
If the state insists on narrowing the boundaries of belonging, it should at least do so openly, so those excluded can stop clinging to a citizenship that exists in name only.
You can use violence to create fear and subservience, but you cannot remove the anger that calls for resistance.
Yawezekana Henry alifanya mengine mengi mazuri, lakini historia inamkumbuka kama muuaji wa Becket tu.
However, hitting the sharks or any other sea creature over the head is not going to remove the undercurrents of bitterness and frustration.
Kwa mfano, endapo washindani wote wameenguliwa kwenye kinyang’anyiro, kitakachofanyika hapa kinastahili kweli kuitwa “uchaguzi?”
Serikali inatoa ahadi tamutamu bila kujali kwamba ahadi ni deni. Ndiyo maana ahadi imekuwa duni, na watu wanaumia.
Mkinzano huu pia utavikumba vyama vyote kwa kadiri pengo kati ya walala hoi na walalahai linazidi kuongezeka na ahadi za maisha bora zinaonekana hazitatimia hazijatekelezwa bado, bali ni kwa sababu hazitekelezeki.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved