Dondoo Hizi Zitakusaidia Mzazi Kumlinda Mtoto Kipindi Hiki cha Mvua
Mvua inaweza kuwa na athari kubwa na ni jukumu letu kama wazazi na walezi kuhakikisha tunatengeneza mazingira ya usalama kwa ajili ya watoto.
Mvua inaweza kuwa na athari kubwa na ni jukumu letu kama wazazi na walezi kuhakikisha tunatengeneza mazingira ya usalama kwa ajili ya watoto.
Ushahidi unaonesha kwamba adhabu ya viboko, makofi na nyingine kama hizo hazimsaidii mtoto. Badale yake, hupunguza tu hasira alizonazo mzazi juu ya kosa la mtoto.
Tabia hujengwa kwa muda, na siyo jambo la siku moja, cha msingi ni kuzingatia kwamba tunawafundisha watoto tabia hizo.
Wataalamu wa makuzi ya watoto hueleza kuwa watoto wanaosikilizwa hujengeka na kuwa watu wazima wanaoheshimu mawazo ya wengine na kutoa mawazo yao kwa kujiamini na kujithamini.
Kama tunakubaliana na ukweli kwamba mtoto hawezi kuzaliwa bila ya baba na mama, basi tukubaliane pia kuwa mtoto hawezi kulelewa kikamilifu bila baba na mama.
Wengi wetu tumekua katika jamii ambazo wanawake ndiyo wanaofundishwa kupika, lakini kupika ni ujuzi muhimu wa maisha ambao kila binadamu anapaswa kufahamu.
Usafi ni nyenzo bora ya malezi na afya ya watoto. Pasipo kuzingatia usafi, magonjwa ya kuambukiza na yale yasiyo ya kuambukiza yamekua yakiathiri afya ya
Tunachojifunza ni kwamba watoto wenyewe wakipewa fursa ya kuhusiana bila ya sisi wazazi kuwa mahakimu kila wakati, wanaweza kujenga mahusiano mazuri tu.
Maziwa ya mama ni mazuri kwa mtoto kwani huwa yana antibodi zinazosaidia kumlinda mtoto mchanga dhidi ya maradhi mbalimbali.
Huduma ya kwanzaa ni muhimu kwa kuwa inaweza kuokoa maisha ya mtoto wakati ambapo msaada wa kitaalamu hauko karibu, au kabla ya kumpeleka hospitalini kwa matibabu zaidi.
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved