Waajiri Watakiwa Kuzingatia Sheria za Kazi Kuepusha Migogoro na Wafanyakazi
Wito huo unakuja wiki moja tangu The Chanzo ichapishe habari za kufukuzwa kazi kwa viongozi wa wafanyakazi kiwandani hapo, hatua walioihusisha na harakati zao za kupigania haki na maslahi ya wafanyakazi.