What Drives Tanzanians to Join Scam-proven Pyramid Schemes?
Massive unemployment and the get-rich-quick dreams are named as some of the driving factors.
Massive unemployment and the get-rich-quick dreams are named as some of the driving factors.
Serikali na Mahakama zabainisha madai ya bibi huyo dhidi ya mtoto wake hayana ukweli wowote.
Shirika hilo linasema katazo hilo linawanyima washichana haki yao ya kupata elimu kwa kuwabagua na kuwanyanyapaa.
Katibu wa Wamachinga afunguka juu ya agizo la Mkuu wa Mkoa
Ugonjwa wa ischemic heart disease umekuwa umeonekana ni ugonjwa ambao unaua watu wengi sana katika nchi nyingi zilizoendelea, lakini katika miaka ya karibuni hilo tatizo pia limeanza kuonekana katika hizi nchi zinazoendelea
Mutungi says the parties are not sure which meeting they are boycotting.
Anasema ni muhimu machinga na wenye maduka wakae mezani kujadili changamoto zao na kutafuta suluhu ambazo hazitamuumiza yoyote kati yao.
Wananchi wanasema Katiba Mpya itatibu dosari zote za kidemokrasia nchini Tanzania.
The case is expected to resume on September 23 after the defence has submitted its objections to the case.
Katika stendi nyingi za mabasi Dar es Salaam kunaonekana hakuna utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam yanayolenga kuzuia maambukizi ya UVIKO-19.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved