Kaulimbiu ya ‘Mapinduzi Daima’ Itekelezwe Kwa Vitendo
Kung’ang’ania kauli kwamba CCM Zanzibar ilishika dola kwa mtutu wa bunduki na hivyo haiwezi kuiachia kwa sanduku la kura ni kujiangamiza.
Kung’ang’ania kauli kwamba CCM Zanzibar ilishika dola kwa mtutu wa bunduki na hivyo haiwezi kuiachia kwa sanduku la kura ni kujiangamiza.
Mwanasiasa huyo wa mrengo wa kushoto anakabiliwa na mtihani mzito wa kurekebisha makosa ya mtangulizi wake, Jair Bolsonaro.
Kiongozi huyo wa kijeshi amedhamiria kuikomboa Burkina Faso kutoka kwenye ufukara na ukoloni mamboleo. Swali ni je, atafanikiwa?
Kwa kuamua kutumia Kiingereza badala ya Kiswahili, tena nchini Tanzania ambapo watu wake wengi ni wazungumzaji wa Kiswahili, Rais Ruto amezipa nguvu kasumba zinazohusu lugha hizo mbili.
Ni nini Afrika kama bara inaweza kufanya kuiepusha na viongozi wa aina ya kina Dos Santos? Jibu linaweza kuwa gumu kuliko swali.
Kuwemo kwa nchi zenye nguvu kiuchumi kama India, Afrika Kusini na Nigeria – kuzitaja chache – mtu ungetarajia Jumuiya ya Madola ingekuwa na uwezo wa kushinikiza mfumo mpya wa kiuchumi duniani. Hali haiko hivyo.
Utulivu wa kisiasa visiwani humo litakuwa ni suala linaloendelea kupewa kipaumbele na jirani yake Tanzania pamoja na SADC ambao Comoro pia ni mwanachama.
Kauli hiyo inamaanisha kwamba Samia ameweza kujijenga na kuonekana kwamba amemudu kuyahodhi madaraka ndani na nje ya chama chake cha CCM
Kitendo cha Moroko kuendelea kuikalia kwa mabavu Sahara Magharibi kinaonesha kwamba harakati dhidi ya ukoloni barani Afrika hazijaisha
Wimbi la mapinduzi ya kijeshi linaloikumba Afrika kwa sasa, pamoja na ulegevu wa hatua za Umoja wa Afrika, kunaifanya kauli kwamba matatizo ya Afrika yatatuliwe na Waafrika wenyewe isiyoendana na uhalisia.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved