Vodacom, Benki ya TCB Wakanusha Taarifa za Uzushi Kuhusu M-Koba
Katika taarifa kwa vyombo vya habari na ujumbe mfupi kwa wateja wao, Vodacom na Benki ya TCD wameeleza kuwa taarifa za kufungwa kwa M-Koba ni za uongo na uzushi zilizolenga kuleta taharuki kwenye jamii.