
Sintofahamu Mahakamani Polisi Wakizuia Watu Kuingia na Simu Kwenye Kesi ya Mbowe
Wadau wanaitaka Mahakama kufuata nyayo za nchi jirani kwa kuruhusu baadhi ya kesi kurushwa mubashara.

Wadau wanaitaka Mahakama kufuata nyayo za nchi jirani kwa kuruhusu baadhi ya kesi kurushwa mubashara.

Mwanaharakati huyo mashuhuri anaieleza The Chanzo kwenye mahojiano maalumu kwamba watoto wake wanamshangaa kwa nini anajisumbua kupigania utawala wa sheria nchini Tanzania.

Sehemu ya Fedha hizi ni zile zilizotolewa na IMF hivi karibuni.

Yapo matukio ya kuchomwa moto na kubakwa pia

Serikali yasema suala la uraia pacha ni suala lenye mchakato mrefu wa kikatiba.

Wakulima kutoka maeneo mbali mbali nchini Tanzania wamelalamikia ongezeko la bei ya mbolea nchini, wakisema kwamba ongezeko hilo “lisilo la kawaida” linahatarisha uzalishaji wa chakula nchini na kuzitaka mamlaka zinazohusika kuingilia kati kwa kutafuta suluhu za muda mfupi na za muda mrefu kabla madhara hayajakuwa makubwa sana.

Sasa yasema fedha zitakazotokana na tozo ya miamala ya simu hazitachanganywa na fedha zingine.

Tamaa za kupata utajiri kupitia watoto wao wa kike na kutojali ustawi wa mabinti hao hupelekea baadhi ya wazazi mkoani Mara kuwaozesha mabinti zao badala ya kuwaacha wajiendeleze kimasomo.

Benki ya Dunia (WB) imeonesha kusikitishwa kwake na ucheleweshwaji wa utolewaji wa takwimu kuhusu hali ya uchumi nchini na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)

Jitihada zaidi zinahitajika kujenga Tanzania inayomlinda mtoto dhidi ya ukatili na unyanyasaji.