Kuna Ugumu Gani Kwa Serikali Kuwasikiliza Wamachinga?
Purukushani kati ya Machinga na mamlaka za miji zinaweza kumalizwa kwa mazungumzo yenye nia ya dhati baina ya pande hizo mbili.
Purukushani kati ya Machinga na mamlaka za miji zinaweza kumalizwa kwa mazungumzo yenye nia ya dhati baina ya pande hizo mbili.
Kama Rais Samia mwenyewe amekiri uporaji wa ardhi upo mkubwa Tanzania, kosa la Bashiru ni lipi?
Kama ilivyo ni wajibu wa Serikali kuelimisha watu wake ili waweze kutoa mchango stahiki katika ujenzi wa taifa, vivyo hivyo Serikali inapaswa kuwajibika na kuwatibu watu wake pale wanapoogua.
Ukosefu wa ajira ni tatizo la kutegemea kwenye mfumo wa uchumi unaoweka mbele faida kuliko kitu kingine chochote kile.
Dr. Ngozi atapaswa kurejesha imani za watu juu ya taasisi hiyo iliyohusika kwa njia moja au nyengine kukandamiza mataifa mengi ya Afrika kwa kusimamia sera zinazoyanufaisha mataifa tajiri.
Kuna haja ya kubadilisha mfumo mzima wa uzalishaji mali na usambazaji wake na siyo kuhubiri watu wale vizuri na kufanya mazoezi tu.
Watanzania masikini hawana shida na bima ya afya bali mfumo imara wa taifa wa afya ya jamii ambao utasukumwa na utoaji huduma na sio utafutaji wa faida.
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved