
Haya ni Baadhi ya Madhila Wanayopitia Wafanyakazi wa SBC Tanzania
Mwenyekiti na Katibu wake wadai kufukuzwa kazi baada ya kutetea masilahi ya wafanyakazi. Kampuni inasema kama wafanyakazi wana malalamiko wanatakiwa watumie njia rasmi za kuyashughulikia.








