Wananchi Hanang Watishiwa Kupewa Kesi ya Uhujumu Uchumi Wakidaiwa Kupinga Mradi wa EACOP. Wasisitiza Hawapingi Mradi
Wenyewe wasema nia yao siyo kupinga mradi, bali malipo ya fidia yasiyoendana na thamani za ardhi zao wanazopaswa kutoa kupisha mradi huo.