
2025 ni Samia Vs Lissu?
akamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ametangaza kuwa tayari amekiandikia chama chake juu ya nia ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama chake.
akamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ametangaza kuwa tayari amekiandikia chama chake juu ya nia ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama chake.
Kwa kuwa hakuna mbadala wa utu wa mtu, huwezi kuwalaghai watu kwamba unawaletea maendeleo kwa kuwanyang’anya ardhi na makazi yao na ukawaacha bila kitu.
Ni muhimu sana kushirikisha umma katika mambo muhimu kabla ya kukimbilia kuyaamua na kuyatangaza.
Mamlaka hiyo imeeleza haya ikijibu barua ya wadau wa Kikundi Kazi Cha Masuala ya Mitandao (IGTWG)
Tofauti na SUK ya 2010-2015 ambapo kambi mbili ndani ya Serikali, chama tawala na upinzani, zilifanya kazi kwa kuhofiana na kutoaminiana, SUK ya Mwinyi imekuwa tofauti kabisa.
Tujenge na tuimarisha mifumo ya utoaji haki na ugatuzi wa mamlaka ya nchi kwani usanii unaofanywa kwa jina la kusaidia wanyonge hauna uendelevu.
Huduma za zimamoto na uokoaji nchini zilitolewa katika halmashauri nchini mwaka 2007 kufuatia kupitishwa kwa Sheria Namba 14 ya mwaka 2007 ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ambalo kwa sasa lipo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani.
Wananchi wanadai taka hizo huzuia mmomonyoko wa ardhi, CAG ashangaa, akitahadharisha athari za kiafya.
Mei 13, 2024 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilijadili na kupitisha bajeti ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2024/25 jumla ya shilingi trilioni 1.3
Binadamu na Maendeleo ni kitabu kinachobeba hotuba 11 alizohotubia Julius Nyerere kati ya mwaka 1968 na 1973 akiwa Rais wa kwanza wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved