Zanzibar Yachunguza Tukio la Mtuhumiwa Kufariki Mikononi Mwa Vyombo vya Ulinzi
Kijana huyo anadaiwa kupigwa na maafisa wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya hadi kupoteza maisha.
Kijana huyo anadaiwa kupigwa na maafisa wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya hadi kupoteza maisha.
Ni wanafunzi wapatao 55 wa Kituo cha Tucheze, Tujifunze cha Fukuchani, Unguja, ambao wanadaiwa kusomea chini ya miti kwa miaka 13.
Kiwanda cha NIDA Textile Mills (T) LTD kinadaiwa kutiririsha maji taka kwenye Mto Kibangu, hali inayolalamikiwa kuwaathiri wananchi wa karibu.
Kalenda nzima ya nini kitaanza, na nini kitafuata, hatua kwa hatua hadi kupata Katiba Mpya, itapaswa kuandikwa katika Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Katiba.
Je, mageuzi yanayotafutwa Tanzania ni kwa maslahi ya wanasiasa tu au kwa maslahi ya kila Mtanzania?
Muswada unaolenga kutengeneza sheria ya kuwalipa wenza wa viongozi mafao baada ya viongozi hao kustaafu, unataka kuwalipa wenza hao malipo ya kazi ipi?
Changamoto ya uhaba wa vyumba vya madarasa imelalamikiwa na walimu na wanafunzi kuathiri ufundishaji na ujifunzaji Zanzibar.
Ni muhimu kwa watatu hao wazungumze namna bora Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu watakavyofanya kazi bila migongano.
Taarifa ya Jeshi la Polisi inakuja siku moja toka Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Camilius Wambura kusema watachukua hatua za kisheria juu ya watu wanaofanya uchochezi
Baadhi ya wananchi wamekuwa wakilalamika mali zao kutaifishwa kupitia utaratibu wa kukiri makosa ya jinai.
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved