CHADEMA Kuelekea 2025: Mivutano Hii Itaiacha Salama?
Wafuatiliaji wa siasa wameonesha hofu yao kuwa kama CHADEMA ikipoteza kuaminika kwa wananchi, itakuwa vigumu kujipanga na kuongoza vuguvugu katika sera zake.
Wafuatiliaji wa siasa wameonesha hofu yao kuwa kama CHADEMA ikipoteza kuaminika kwa wananchi, itakuwa vigumu kujipanga na kuongoza vuguvugu katika sera zake.
Kitabu cha Paulo Freire, Pedagogy of the Oppressed, kinaweza kutusaidia kulifahamu tatizo linalotukabili kama Watanzania, na namna ya kulitatua.
Vinginevyo, kutumbuliwa kwa wanaojisifu kuiba kura kutainufaisha zaidi CCM kwa kuwafanya makada wake waache kuweka wazi uharamia wa chama hicho, kuliko ambavyo ingewasaidia Watanzania.
Tunapaswa kuhakikisha kwamba kila uwekezaji tunaofanya kama walipa kodi unaleta tija tunayoitarajia, ambayo ni kuifanya Tanzania kuwa bora zaidi ilivyo sasa.
Tanzania inapaswa kurekebisha Katiba yake na kuweka utaratibu utakaoziruhusu nchi zingine za Afrika, zinazotaka kufanya hivyo, kujiunga na Muungano.
Watanzania tuna wajibu, kama raia wa taifa hili ambayo hatma yake iko mikononi mwetu, wa kukataa mazingira yeyote ya kuabudu watawala na kuogopana.
Mageuzi ya kweli ya kisiasa ni kifo kwa CCM, na viongozi wa chama hicho tawala wanalifahamu hilo vizuri sana.
Katika maisha yangu ya hivi karibuni msukosuko mkubwa nilioupata na familia yangu ikatisika kidogo ilikuwa ni masuala ya uraia na ikanifundisha vitu fulani fulani.
Utendaji mzuri ni wa kujisimamia wenyewe, waandishi waachiwe wajisimamie wenyewe.
Electoral bills that the parliament passed this month, which largely ignored stakeholders’ inputs, indicate Samia’s backtracking from her widely popular reformist agenda.
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved