Mambo Muhimu Ukamilishaji wa Mchakato wa Katiba Tanzania
Kalenda nzima ya nini kitaanza, na nini kitafuata, hatua kwa hatua hadi kupata Katiba Mpya, itapaswa kuandikwa katika Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Katiba.
Kalenda nzima ya nini kitaanza, na nini kitafuata, hatua kwa hatua hadi kupata Katiba Mpya, itapaswa kuandikwa katika Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Katiba.
Sababu kubwa iliyotajwa juu ya maazimio haya ni kuwa muda uliopo mpaka kufikia uchaguzi ni mdogo sana kuweza kumaliza mchakato wa kupata Katiba Mpya.
Hoja kubwa ni, kwa nini tupunguze makali ya adhabu kidogo tu na siyo kuifumua sheria hiyo yote na kuisuka upya?
Mkuu wa Majeshi anataja kipindi hicho kama moja ya vipindi vigumu sana wakati wa uongozi wake jeshini.
Wanasema bajeti haiakisi mchakato unaoendelea nchini wa kudai mageuzi ya kisiasa.
Matumaini ya wananchi kwa Rais Suluhu yapo juu huku Rais huyo wa sita wa Tanzania akichukua taifa lililogawanyika kisiasa.
Kuhusu Katiba Mpya, hayati Magufuli alisema, wamwache kwanza afanye maendeleo. Samia anataka aachwe kwanza atoe elimu.
Kiongozi huyo wa upinzani ameendelea kusisitiza msimamo wa chama chake wa kutanguliza mapambano ya Tume Huru ya Uchaguzi akisema taasisi hiyo ni muhimu kwa sasa ili mapambano ya kudai mabadiliko mengine makubwa kama vile Katiba Mpya yaweze kufanikiwa.
Tunapoelekea katika uandishi wa Katiba Mpya, ambao nahisi hauepukiki, yafaa suala la uwakilishi serikalini lizingatiwe ili kuondoa uwezekano wa taifa kupasuka na kugawanyika.
Ulimwengu anasema Katiba Mpya ni muhimu kwani itawaokoa watu na upigaji ramli katika uendeshaji wa nchi.
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved