Falsafa ya CHADEMA ya ‘Nguvu ya Umma’ na Itikadi ya Ujamhuri: Je, Upo Ulinganifu?
Falsafa ya CHADEMA ya nguvu ya umma inaendana na itikadi ya ujamhuri, iliyoibuliwa na chama hicho kwa mazingira yao ya Tanzania.
Falsafa ya CHADEMA ya nguvu ya umma inaendana na itikadi ya ujamhuri, iliyoibuliwa na chama hicho kwa mazingira yao ya Tanzania.
Serikali haina budi iyarekebishe mambo hayo kuiwezesha nchi yetu ipate sheria nzuri zaidi inayoanzisha, kuisimamia, na kuongoza shughuli za Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Wakati inafurahisha kuona Serikali ikitimiza ahadi yake, miswada hii inahitaji marekebisho makubwa kukidhi kiu ya Watanzania.
Mikataba mitatu ya uwekezaji yasainiwa huku baadhi ya wadau wakiendelea kuukosoa vikali mkataba huo.
Je, mageuzi yanayotafutwa Tanzania ni kwa maslahi ya wanasiasa tu au kwa maslahi ya kila Mtanzania?
Lazima tukubali kuwa tumepoteza uaminifu na imani kwa taasisi, Serikali na viongozi wetu. Hali hii ni hatari. Tunatakiwa tuiamini Serikali na viongozi wetu.
They want an independent electoral commission, independent candidacy, challenging of the presidential elections in court, and a requirement that a presidential candidate should win by 51 per cent.
Tumepoteza uwezo wa kujenga hoja. Tumefika mahala kwamba sasa Watanzania ni watu ama wa kufokeana ama kukaripiana ama kuonyana ama kutishana.
Uzalendo leo umekuwa ni kuimba mapambio ya watawala, ni uchawa na unafiki fulani tu.
Canada imetangaza kutoa msaada wa dola milioni 25 za Canada, takribani bilioni 46 za Kitanzania zitakazotumika katika mradi wa elimu uitwao ‘Kila Binti Asome’
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved