Tunaitathmini Vipi Mikutano ya Hadhara Inayoendelea ya CHADEMA?
CHADEMA inaongoza kwa kufanya mikutano mingi ya hadhara tangu zuio dhidi ya mikutano hiyo litenguliwe mapema mwaka huu.
CHADEMA inaongoza kwa kufanya mikutano mingi ya hadhara tangu zuio dhidi ya mikutano hiyo litenguliwe mapema mwaka huu.
On Wednesday, Lissu proved wrong people who might have thought that the politician has changed in the way he talks about those in power.
The CHADEMA leader thinks those criticising him are treating him unfairly.
Kutenguliwa kwa katazo dhidi ya mikutano ya hadhara kunathibitisha matarajio ya baadhi ya wachambuzi kwamba 2023 utakuwa mwema kisiasa.
Lipo kwa kuachiwa huru kwa Mbowe na uteuzi wa Faiza kama Mkurugenzi wa ZEC
Watu ambao hawaonekani juu ya majukwaa ya kisiasa ndio kipimo halisi cha uhuru wa taifa. Kama kundi hilo kubwa la watu linaigopa Serikali basi taifa limehama tokea miaka kadhaa ya uhuru limeingia kwenye miaka kadhaa tangia siku ya uhuru.
Mnyukano unaonekana ulikuwa mkali kwenye siasa za ndani ya Zanzibar tu, huku maoni ya wadau yakionekana kufanana linapokuja suala la Muungano.
Ataka mifumo na taasisi ziwekwe ambazo zitahakikisha watawala wanawajibika kwa wananchi.
Mwanasisasa huyo anasema maisha kwa sasa yamekuwa magumu kwani CCM “inacheza na chakula.
Tushindane na wale waliotuzidi kwa unafuu wa bei badala ya kubweteka na kujiliwaza kuwa tunafanya vema kwa kigezo cha tuliowazidi.
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved