Je, Ni Haki kwa Serikali Kuwaweka Rumande Washtakiwa Halafu Kufuta Kesi Bila Kuwalipa Fidia?
Wadau wanasema siyo haki, wataka mageuzi yafanyike kwenye mfumo wa utoaji haki jinai nchini.
Wadau wanasema siyo haki, wataka mageuzi yafanyike kwenye mfumo wa utoaji haki jinai nchini.
Kwa chama tawala ilikuwa ni Julai 29, 2022.
Si kweli kwamba wanasiasa vijana wa CCM wanaomsema Magufuli vibaya sasa walikaa kimya wakati yuko hai au walikuwa wanamsifia?
Kauli hiyo inamaanisha kwamba Samia ameweza kujijenga na kuonekana kwamba amemudu kuyahodhi madaraka ndani na nje ya chama chake cha CCM
Katika makala hii, Mbunge wa Ubungo (CCM) Profesa Kitila Mkumbo anarejea mchango wa Rais Magufuli katika ujenzi wa Tanzania kwa kuainisha pale Magufuli alipoikuta Tanzania na alipoiacha wakati anafariki, na hivyo kujenga msingi wa kuelewa Tanzania inapoelekea chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Ni kwa namna gani kiongozi huyo wa upinzani atasawazisha matakwa ya wafuasi wake na yale ya Serikali ya Samia ambayo sasa anaonekana kuelewana nayo baada ya kundosha mashtaka ya ugaidi dhidi yake?
DPP, kama mfumo wa utoaji haki Tanzania ungekuwa mzuri, angeweza kusema kwamba katika kupitia upya ushahidi uliokusanywa kuhusu shauri husika, anaona, pasipo shaka yoyote, kuwa watuhumiwa hawawezi kutiwa hatiani na hivyo anaona kuwa ni kupoteza muda wa Jamhuri na watuhumiwa kuendelea na shauri husika.
Wadau wa siasa nchini wanabainisha kwamba mnufaika mkubwa wa mtifuano kati ya vyama hivyo viwili vya upinzani nchini ni yule kila mmoja wao analenga kuitoa madarakani – CCM.
ACT-Wazalendo kuwemo ndani ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa huko Zanzibar ni moja ya fursa muhimu inayoweza kusaidia ukuaji wa chama hicho. Moja ya changamoto ni je, chama hicho kitafanikiwa kutafsiri mafanikio yaliyopatikana huko Zanzibar na kuyahamishia Tanzania Bara?
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved