
Mwanahistoria Mohamed Said: Miaka 60 ya Uhuru Lakini Hatuijui Historia Yetu
Nguli huyo wa historia nchini anabainisha umuhimu wa watu kujua historia yao akisema kwamba mtu akinyang’anywa historia yake ndio amenyang’anywa utu wake.
Nguli huyo wa historia nchini anabainisha umuhimu wa watu kujua historia yao akisema kwamba mtu akinyang’anywa historia yake ndio amenyang’anywa utu wake.
Ulimwengu anasema Katiba Mpya ni muhimu kwani itawaokoa watu na upigaji ramli katika uendeshaji wa nchi.
Kansela huyo wa kwanza mwanamke nchini Ujerumani anategemewa kuachia ngazi mwisho mwa mwaka huu baada ya kulitumikia taifa hilo la Ulaya kwa kipindi cha miaka 16.
Kada huyo wa CCM anasema moja ya sababu ya kuingia kwenye vyama vingi ni kusikiliza maoni ya watu
Wafanyakazi wengi ambao kazi zao zimeharibiwa na janga la UVIKO-19 hawaoni juhudi za Serikali kupunguza makali yatokanayo na athari za ugonjwa huo hatari.
Mjumbe huyo wa Kamati Kuu ya ACT-Wazalendo anaieleza The Chanzo kwenye mahojiano maalumu kwamba hajutii chama chake kujiunga na Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar kwani maridhiano yanahitajika kujenga taifa katika misingi ya umoja na maendeleo endelevu.
Wananchi wanasema Katiba Mpya itatibu dosari zote za kidemokrasia nchini Tanzania.
Wanachama na viongozi wa chama hicho cha upinzani wana kazi kubwa ya kuhakikisha wanakitoa chama chao kwenye hadhi ya upopo iliyonayo hivi sasa.
Ni Deogratias Cosmas Mahinyila, aliyekuwa mgombea udiwani kata ya Berege, Dodoma kupitia CHADEMA mwaka 2020 na kupewa kesi ya uhujumu uchumi yeye na wenzake 15.
Ni kuhusu vilio vya haki dhidi ya mfumo wa haki jinai nchini.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved