Kwenye Hiki Kinachoitwa ‘Faida za Maridhiano’ Naomba, Kwa Heshima Kubwa, Nitofautiane na Mheshimiwa Mbowe
Maridhiano yalikuwa ahueni ya kisiasa kwa Rais na Serikali yake. Kutoa sifa kwa suala ambalo halikutimilika ni sawa na kujipakaa mafuta mwilini bila kuoga.