Ida Hadjivayanis: Kumfasiri Gurnah, Mshindi wa Nobel, kwa Kiswahili
Heshima iliyopo kati ya Ida na Gurnah ni zaidi ya ile itokanayo na umri au asili; ni heshima itokanayo na kuikubali kazi ya fasihi ambayo kila mmoja ameonesha kuwa nguli.
Heshima iliyopo kati ya Ida na Gurnah ni zaidi ya ile itokanayo na umri au asili; ni heshima itokanayo na kuikubali kazi ya fasihi ambayo kila mmoja ameonesha kuwa nguli.
Kuna lahaja nyingi na kumekuwa na lahaja tofauti tangu awali, na sasa kuna njia nyingi za kusema Kiswahili.
Asifu hatua ya Serikali kufadhili kazi za uandishi bunifu; asema haoni uamuzi huo ukikinzana na dhana ya uhuru wa mwandishi.
Jumla ya washindi 30, kutoka tanzu za riwaya, ushairi na hadithi za watoto, walitangazwa, huku washindi wa kwanza kutoka kila tanzu wakijishindia vyeti, ngao na fedha taslimu Shilingi milioni kumi kila mmoja.
Kama lengo la tuzo hizi ni kukuza uandishi bunifu na usomaji nchini, basi ni muhimu sana kuwa na mpango mkakati usiopishana njia na malengo hayo. Kwa sasa, mpango mkakati umeshindwa kulenga shabaha hiyo.
Shime kwenu wazazi popote mlipo, wajengeeni watoto ari ya kuandika barua; itawasaidia kuboresha ujuzi wa uandishi na umahiri katika uchaguzi na mpangilio wa maneno.
Chapa yake ya saba ikichapishwa mwaka 2018 na Mkuki na Nyota, Kufikirika ni moja kati ya kazi za fasihi zilizompatia heshima kubwa mwandishi wake, Shaaban Robert, na kuendelea kuakisi jamii halisi ya Kitanzania.
Pamoja na ufasaha wa lugha na lafudhi nzuri, Hayati Mwinyi anatajwa kuwa mwandishi mzuri anayejua kuzingatia taratibu za uandishi, mantiki ya tungo, mpangilio wa maneno, sentesi na vifungu vya habari.
Hatuwezi kukuza fasihi yetu ikiwa hatusomi vitabu vyetu.
Sidhani kama kuna mwandishi yeyote ambaye nimewahi kumsoma aliyemwelezea mke wake kipenzi kwa jinsi alivyofanya Shaaban Robert.
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved