
‘Mapenzi Bora’ ya Shaaban Robert Inavyochambua Maana Pana ya Dhana ‘Mapenzi’
Katika utenzi huu, mwandishi anatukumbusha kwamba mapenzi bora hutupa akili ya namna ya kuenenda.

Katika utenzi huu, mwandishi anatukumbusha kwamba mapenzi bora hutupa akili ya namna ya kuenenda.

Mashairi ya kitabu hiki yanajadili masuala mbalimbali ya jamii, yakitoa mawaidha kuhusu maisha, kujenga tabia njema, mahusiano na watu, uongozi, na mapenzi.

Mwandishi anatupeleka kwenye ulimwengu uishio katika fikra tu, japokuwa ukianza kusoma habari za nchi hiyo unaanza kujiuliza kama kweli huko ni Sadiki au ni mahali fulani ambapo umeshawahi kufika.

Chapa yake ya saba ikichapishwa mwaka 2018 na Mkuki na Nyota, Kufikirika ni moja kati ya kazi za fasihi zilizompatia heshima kubwa mwandishi wake, Shaaban Robert, na kuendelea kuakisi jamii halisi ya Kitanzania.

Sidhani kama kuna mwandishi yeyote ambaye nimewahi kumsoma aliyemwelezea mke wake kipenzi kwa jinsi alivyofanya Shaaban Robert.

Kikiandikwa na nguli Shaaban Robert, ‘Kielezo cha Fasili’ kinamsaidia msomaji kujua jinsi ya kusoma habari, kuielewa na kuielezea kwa maneno yake mwenyewe.

Shafi amejihami kwa kukiita kisa hiki cha kubuni. Nami naogopa kuwataja ninaodhania ni watu fika katika mkasa huu.

Soma utenzi huu na utafakari ni nini wapaswa kumtendea mwenza, ama mtarajiwa, wako?

Simulizi ya kale ya Fumo Liyongo ina mafunzo mengi kwa muktadha wetu wa sasa, ikiwemo ukweli kwamba tabia za watawala hufanana, na hivyo wanaopambania haki hutumia mbinu ambazo watawala huzidharau

Kwa mtu anayependa kujifunza ushairi wa Kiswahili, hiki ni kitabu kizuri kwa sababu lugha yake ni ya ufupisho haswa.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved