Makubaliano ya Somaliland na Ethiopia: Kofi la Usoni kwa Somalia?
Ethiopia imesogea katikati ya kiini cha uchumi wa dunia ya biashara kwa sasa, itakuwa rahisi kukosolewa lakini siyo kuondolewa.
Ethiopia imesogea katikati ya kiini cha uchumi wa dunia ya biashara kwa sasa, itakuwa rahisi kukosolewa lakini siyo kuondolewa.
Afrika inapaswa kuandaa sera ya pamoja ya Akili Unde kulinda utu, ustawi, na maendeleo ya watu wake.
Mwendelezo wa mipango na uwezeshaji wa mipango hiyo bado imekuwa ni doa kubwa kwa AU na wanachama wake.
Kahawa, ambayo soko lake kubwa ni mataifa ya nje, inaweza isiwe na tija kwa kuwa siyo bidhaa hitajika kwenye soko la Afrika kwa sasa.
Afrika inatumika kama karata ya ushindi. Kwa mataifa makubwa ya kidunia, Afrika ni kama kete tu kwenye mchezo.
Uzalishaji huu utapunguza gharama za uingizaji wa mbolea kutoka mataifa ya nje, hivyo kumfanya mkulima kupata unafuu wa bei
Kuna hofu kwamba matumizi ya mbegu za GMO yanaweza kuathiri uhuru wa mwanadamu kwenye upatikanaji wa chakula.
Itategemea na namna watakavyokabiliana na changamoto za nchi zao na zile za kidunia, kama vile sera zisizorafiki dhidi yao.
In 2015 the Presidents of Kenya, Rwanda, Uganda and Tanzania agreed that by 2018 their countries should be able to become more sufficient in the production of textiles using local raw materials and industries.
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved