
Mchengerwa Awataka Maafisa Habari Kuhakikisha Wananchi Wanapata Taarifa Sahihi, Kurekebisha Upotoshaji
Maafisa Habari wamebeba dhamana ya kuhakikisha wananchi wanapata haki ya msingi ya kupata taarifa sahihi, na kurekebisha taarifa ambazo hazina ufasaha katika maeneo yao.








