Imani kwamba watu wenye kigugumizi wana hasira hutokana na kutokujua namna nzuri ya kuongea nao.
Imani kwamba watu wenye kigugumizi wana hasira hutokana na kutokujua namna nzuri ya kuongea nao.
Polisi na wadau wa usalama barabarani wanasema usafiri huo siyo salama kwa wasafiri.
Baadhi ya mambo waliyopendekeza wadau ni pamoja na kuongeza uwekezaji na kutumia njia rafiki za kukusanya kodi
It comes down to three things availability of geological data, capital, and modernization of mining sites.
Kutakuwa na ajira, kuongezeka kwa kiwango cha kodi inayokusanywa kutokana na shehena zitakazosafirishwa na pia pato la taifa litaongezeka
TAKUKURU yasema kwa kiasi kikubwa malalamiko hayo huhusiana na matumizi mabaya ya madaraka.
Wanasema kucheleweshewa stahiki zao kunawapunguzia morali ya kazi na kuathiri ustawi wao.
Ni hofu ya kila mzazi kuona mtoto wake anakuwa takwimu nyengine ya tatizo hilo linalozidi kukua nchini.
Wanashauriwa kwamba kuendelea kufanya hivyo ni kukiuka haki za msingi za watoto wao, ikiwemo ile ya kupata elimu.
Wadau wahimiza nguvu zaidi ielekezwe kwenye familia kwani huko ndiko ukatili hutokea na kufichwa.