‘Nilinusurika Chupuchupu Kutolewa Kafara’ 5 March 2021 Mwanaharakati wa haki za watu wenye ulemavu wa ngozi anaelezea changamoto zinazowakabili watu wa jamii hiyo nchini Tanzania na hatua zilizofikiwa mpaka sasa kuboresha ustawi wao.