
EAC Yatakiwa Kuboresha Sera, Sheria Kusaidia Wajasiriamali Wanawake Mipakani
Wadau wanaamini kwamba sheria na sera ambazo zimekuwa zikipitishwa na vyombo vya EAC kama vile Sekretarieti na Bunge la Afrika Mashariki zimekuwa hazizingatii suala la jinsia pamoja na wafanyabiashara wadogo.








