
Rais Samia Awaonya Wanaharakati Kutoka Nje Kuingilia Mambo ya Ndani Tanzania
Rais Samia ameviagiza vyombo vya ulinzi kuzuia wanaharakati wanaotoka nchi zingine na kujaribu kuingilia masuala ya Tanzania

Rais Samia ameviagiza vyombo vya ulinzi kuzuia wanaharakati wanaotoka nchi zingine na kujaribu kuingilia masuala ya Tanzania

Moja ya changamoto inayoeleza kuwakabili wanachama hao walioondoka CHADEMA ni ushawishi hafifu huku wengi wakiwaeleza kama watekelezaji wa mkakati unaoratibiwa na wengine

Ubishani kati ya Mawakili wa Lissu na wa Jamhuri umetokea Mahakamani hapo juu ya lini upelelezi utakamilika.

Ni pamoja na kunusurika kuuawa mara mbili, pamoja na kufanya kazi za usafi akiwa masomoni kusaidia shughuli za kanisa.

Wadau wakugusia nafasi ya teknolojia kuipeleka fasihi ya Kiswahili kimataifa, waandishi watoana hofu ya Akili Unde.

Leo Jumamosi ya Aprili 12, 2025, Tume ya Uchaguzi pamoja na vyama vya siasa vinategemewa kusaini maadili ya uchaguzi, ambapo Mkurugenzi wa UchaguziRamadhani kailima akiongea

Golugwa amefafanua zaidi kuwa michango hiyo imetumika kuendesha mikutano waliyoipanga kusini

Hati ya mashtaka inaonesha Lissu anatuhumiwa kosa hilo kutokana na maneno aliyoyasema mnamo April 03, 2025,

Tundu Lissu amekamatwa na kupelekwa kituo cha polisi Mbinga pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA

Amos Makalla, Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), yuko matatani kwa kudai kwamba chama cha upinzani, CHADEMA, kinakusanya fedha ili ‘kikanunue’ virusi vya Mpox na Ebola kwa ajili ya shambulio la kibaiolojia ili kuvuruga uchaguzi nchini.