
Waumini 52 wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Wafungua Kesi ya Kikatiba Kudai Uhuru wa Kuabudu
Kesi hiyo ya Kikatiba iliyofunguliwa dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mkuu wa Jeshi la Polisi inategemewa kusikilizwa kesho Julai 11, 2025

Kesi hiyo ya Kikatiba iliyofunguliwa dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mkuu wa Jeshi la Polisi inategemewa kusikilizwa kesho Julai 11, 2025

Akizungumza leo makao makuu ndogo ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam amesema kuwa kwa nafasi ya wabunge wa majimbo 272 ya uchaguzi nchini, watia 3,585 wamechukua upande wa bara na 524 wamechukua upande wa Zanzibar. Kati ya watia nia hao 4,109 walioenda majimboni wanawake ni 263. Uwakilishi Zanzibar waliochukua fomu ni 503.

Wataeule hao walitakiwa kuandika rasmi kuonesha nia zao za kuingia kwenye uchaguzi ujao.

Tanzania imesema inachunguza tuhuma za kutesa na kuwadhalilisha kingono wanaharakati

Kutokana na malalamiko ya kukosa faragha na mawakili wake, Tundu Lissu aliamua kuanzia leo kuendelea mbele atakuwa akijiwakilisha mwenyewe, jambo ambalo Mahakama imeliridhia.

Mrindimo wa No Reforms, No Election mitandaoni umezua mijadala hasa baada ya watumiaji wa mtandao wa Instagram na Tiktok kuanza kusambaza jumbe hizo

The amendments focus on the approval of digital meetings and the changes in its board of trustee

Mabadiliko hayo yanajumuisha kuruhusu mikutano ya kidigitali, kuongeza wajumbe wa baraza la wadhamini na namna ya kutoa ruhusa ya miradi

Leo Mei 27, 2025, The Chanzo imepokea wito kutoka kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kuhusu maudhui ya video tuliyochapisha katika chaneli yetu ya Youtube,

Wakati CHAUMMA mpya ikionekana imepata rasilimali mpya za kuwawezesha kufanya kazi hapa na pale, mijadala ya wananchi inaonesha chama hicho kina mlima mrefu wa kupanda kuwaaminisha Watanzania kuwa kina imani ya dhati katika siasa.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved