The Chanzo is hosting Digital Freedom and Innovation Day on April 20, 2024. Register Here

Author: Mwandishi Wetu

Kunje wa AAFP na Almas wa NRA Wachukua Fomu Kumkabili Samia Kwenye Uchaguzi 2025

Wagombea waliokabidhiwa fomu ni pamoja na Hassan Kisabya Almas wa chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) aliyefika pamoja na mgombea mwenza Hamis Ali Hassan.Wagombea wengine waliokabidhiwa fomu ni Kunje Ngombare Mwiru wa chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP), aliyefika pamoja na mgombea mwenza Chumu Abdallah Juma.

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Yatoa Ufafanuzi Takwimu za Wapiga Kura

Mkurugenzi wa Uchaguzi ambaye pia ni Katibu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi(INEC), Ramadhani Kailima amesema kuwa hakuna takwimu za wapiga kura zilizoongezeka kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kama ilivyolinganishwa na baadhi ya watu na takwimu za makadirio ya wapiga kura kwa mujibu wa Sensa.

×