Tunatathimini Vipi Hali ya Uandishi wa Habari?
Utendaji mzuri ni wa kujisimamia wenyewe, waandishi waachiwe wajisimamie wenyewe.
Utendaji mzuri ni wa kujisimamia wenyewe, waandishi waachiwe wajisimamie wenyewe.
Nje ya wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama yaani Venance Mabeyo, Diwani Athumani Msuya na Simon Sirro. Watu wa kwanza kupewa taarifa za kifo cha Magufuli walikuwa ni Katibu Mkuu Kiongozi Bashiru Ally na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Mpango wa kuja na namba moja ya utambulisho kwa Watanzania toka kuzaliwa imeanza kufanyiwa kazi na inategemewa kukamilika mwishoni mwa mwaka 2025.
Mahakama yakubaliana na hoja za mawakili wa utetezi kuwa hakukuwa na ushahidi wa amri iliyotolewa na kupingwa na watuhumiwa hao.
Wamiliki wa Hospitali Binafsi Zanzibar (ZAPHOA) wamesema wamefikia uamuzi huo baada ya serikali kuonyesha utayari wa kurudi katika meza ya mazungumzo.
Mwinyi anasema kwamba uamuzi huo ulimjengea heshima Serikalini na kwenye jamii pia.
Katika taarifa ya Serikali iliyotolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa usiku wa kuamkia Machi 1, 2024, amesema mwili wa Hayati Ali Hassan Mwinyi utaagwa leo, Ijumaa katika uwanja wa Uhuru kuanzia saa nane mchana baada ya swala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA ambapo Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakary Zuberi ataongoza dua.
Lowassa amefariki leo Februari 10,2024, katika taasisi ya Jakaya Kikwete ambapo alikua akipatiwa matibabu juu ya matatizo ya mapafu,shinikizo la damu, na ugonjwa wa kujikunja utumbo.
Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni ameeleza kuwa robo tatu ya matukio yaliyoripotiwa ya watu kutekwa na kupotea kwa mwaka 2023 tayari yamepatiwa ufumbuzi.
Dar es Salaam. Maafisa uhamiaji katika jiji la Kuala Lumpur, Malaysia, zinamshikilia mwanamke mmoja wa Kitanzania, ambaye jina lake limehifadhiwa, baada ya kubainika akiwatumia wanawake
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved