Wanaoishi na Kisukari Mtwara Wafurahia Kufikiwa na Huduma Nafuu za Matibabu
Huduma hizo hutolewa kwa wagonjwa walio chini ya umri wa miaka 25 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara.
Huduma hizo hutolewa kwa wagonjwa walio chini ya umri wa miaka 25 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara.
Wananchi wamelalamika kupigwa na kubolewa nyumba zao na askari wa hifadhi ikiwa ni sehemu ya kuwalazimisha wahame kwenye ardhi yao.
Kupitia mradi wake mpya, shirika hilo la UN lataka kuongeza ushiriki wa wanawake kwenye uongozi na wanawake kumiliki ardhi kwa njia rasmi.
Ujio wa wanyama hao katika Hifadhi ya Bahari ya Ghuba ya Mnazi na Maingilio ya Mto Ruvuma umekuwa kivutio kikubwa cha utalii kwenye hifadhi hiyo.
In order for the villagers of Mtepera to connect with the outside world, there is a special place called Mnarani (tower in English), this is the only area where the network is available.
Wakulima wana matumaini kwamba zao hilo litawatoa kutoka kwenye dimbwi la umasikini.
Wataka wafikishiwe huduma za nyumba za upataji nafuu na vituo vya methadone.
Ni wananchi takriban 12,000 kutoka kata ya Mahurunga ambao wameachwa bila chakula baada ya mafuriko kuharibu takriban ekari 2,776 za mashamba yaliyokuwa yamepandwa mazao mbalimbali.
Waliwekeza Shilingi milioni nane kwenye kampuni hiyo ambazo mpaka sasa hawajuwi watazirudishaje.
Wataalamu wameshauri wakulima kulima mazao yanayohimili ukame ili kukabiliana na baa la njaa.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved