Meet Brave Zanzibari Men And Women Taking On Child Sex Trafficking: ‘We’ve Got Children Too’
They seek to disrupt a secretive criminal ring that lures runaway boys under the age of eighteen and forces them into prostitution.
They seek to disrupt a secretive criminal ring that lures runaway boys under the age of eighteen and forces them into prostitution.
They want the government to develop long-term solutions to prevent women from falling prey to predatory lenders.
Ni muhimu kwa wazazi na walezi kuweka mipaka iliyo wazi kuhusu matumizi ya vifaa vya teknolojia na muda wa kuvitumia.
Wafanyabiashara wanawake sokoni hapo wanasema vyumba hivyo huwafanya kuwa na amani kwenye kufanya shughuli zao.
Wadau wana hofu kwamba kama hali itaendelea kubaki hivyo hivyo, vitendo vya ulawiti na ubakaji dhidi ya watoto vitazidi kushamiri Tanzania.
Wafundishe watoto kuombana msamaha kwa mifano, ukiwakosea waombe msamaha na wao watakuiga wakikukosea au wakikoseana.
Wanawake wanaamini kwamba umiliki wa ardhi kisheria utawasaidia katika jitihada zao za kukabiliana na ukatili wa kijinsia unaotajwa kutamalaki visiwani humo.
They want their voices heard and their actions to be a beacon of hope for a sustainable and just future for all.
Kutofautiana katika mahusiano kupo, lakini ugomvi wa maneno kati yenu kama wazazi ufanyeni faraghani.
Hakuna mfumo maalum katika malezi ya watoto ila familia na jamii nzima ina jukumu kubwa katika malezi ya watoto, ikiwemo kuwalea kwa mapenzi makubwa.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved