Ulawiti Unavyowajaza Hofu Wazazi Kuhusu Hatma ya Watoto wa Kiume Tanzania
Wadau wahimiza nguvu zaidi ielekezwe kwenye familia kwani huko ndiko ukatili hutokea na kufichwa.
Wadau wahimiza nguvu zaidi ielekezwe kwenye familia kwani huko ndiko ukatili hutokea na kufichwa.
Unyonyeshaji mbaya umehusishwa na watoto wengi kusumbuliwa na tatizo hilo.
Inasikitisha kuona umechagua watu wakukumbuke kwa mabaya badala ya wema.
There is a stereotype surrounding the loss of pregnancy in Tanzania – whether spontaneous or induced for any reason. This has contributed largely to the morbidity and mortality of women as a result of abortion.
Kati ya wanawake na wasichana 87,000 waliouwawa ulimwenguni kote kwa mwaka 2017, zaidi ya theluthi moja walifariki kwenye mikono ya wapenzi au waume zao wa sasa au wa zamani. Hili siyo suala la kifamilia. Hili ni janga la kijamii.
Ni simulizi ya Wema Hassan Hamis, mama wa watoto wawili anaelezea changamoto alizokutana
nazo toka akiwa msichana mpaka sasa. Wema anaihimiza serikali kufanya urahisi kwa watu wenye ulemavu kuipata mikopo ya Halmashauri
Out of the 87,000 women and girls who were killed globally in 2017, more than a third died at the hands of their current or former boyfriend or husband. This is not a family issue. It is a public health crisis.
Mwanaharakati huyo anautaja mfumo dume kama chanzo kikuu cha matatizo mengi katika jamii kwani unalenga kuifanya jamii kuwa yenye manufaa kwa jinsia moja (ya wanaume) kwa gharama ya jinsia nyengine (ya wanawake)
Police claim that it dismissed the case following the lack of cooperation from the victim of the sexual assault.
World Bank’s two reports, the Tanzania Gender Assessment 2022 and the Tanzania Gender-Based Violence Assessment 2022, bring together the latest evidence on gender gaps in human endowments, economic opportunities, ownership and control of assets, and women’s voice and agency.
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved