Falsafa ya Maendeleo Inayoeleweka kwa Umma ni Msingi Imara wa Ukombozi wa Taifa
Ni ngumu sana kwa wananchi kushiriki kikamilifu kwenye juhudi za maendeleo ya taifa kama hakutakuwepo na tumaini linaloeleweka kwao vizuri.
Ni ngumu sana kwa wananchi kushiriki kikamilifu kwenye juhudi za maendeleo ya taifa kama hakutakuwepo na tumaini linaloeleweka kwao vizuri.
Isingekuwa rahisi kwao kufanya makosa wanayofanya, na wangefaidika sana na mafunzo yanayohusu uadilifu na uwajibikaji.
Eid Al Fitr itutafakarishe kuhusu mustakabali wa jamii zetu, ikiwemo kujiuliza endapo kama tunatoa mchango wetu ipasavyo kuzifanya kuwa bora zaidi kuliko zilivyo sasa.
Kama lengo la tuzo hizi ni kukuza uandishi bunifu na usomaji nchini, basi ni muhimu sana kuwa na mpango mkakati usiopishana njia na malengo hayo. Kwa sasa, mpango mkakati umeshindwa kulenga shabaha hiyo.
Shime kwenu wazazi popote mlipo, wajengeeni watoto ari ya kuandika barua; itawasaidia kuboresha ujuzi wa uandishi na umahiri katika uchaguzi na mpangilio wa maneno.
Watu wasio na uhakika wa kula, wakipata chakula watakipika kwa nishati ya bei ya chini zaidi.
Wadau mbalimbali waliotoa mapendekezo yao kuboresha miswada hiyo wamehisi kudharauliwa, wakimtaka Rais Samia asikubali kutia doa mchakato wa mageuzi aliouasisi kwa kusaini miswada hiyo kuwa sheria.
Serikali iweke msisitizo kwa vyombo vya habari kujitengenezea utaratibu mzuri wa kutoa maudhui yake ili visiruhusu kila mtu ambaye ni rafiki wa mmiliki, kuwa mtangazaji na mchambuzi.
Bila ya mkakati wa masoko au wa uhamasishaji ulioandaliwa na TFF, kamati ya hamasa inaweza isifanye kazi kwa ufanisi na kuishia kukosolewa, kudhihakiwa na kutukanwa
Matarajio ya vijana wengi ni kuona wanakuwa na chombo kitakachoweza kuwaunganisha vijana wote nchini bila ya kujali itikadi zao za kisiasa, kidini na kikabila
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved