
Je, Kuna Mantiki kwa Rais Samia Kuvunja Baraza la Mawaziri?
Hatutarajii Rais Samia atakuwa na falsafa, maono na dira ile ile ya mtangulizi wake bila kupishana hata kidogo. Hivyo basi, anapaswa kupewa fursa ya kuipanga upya safu yake ya uongozi ili kuendana na dira yake.








