
Balozi wa Ukraine Nchini Kenya Kukutana na Raia wa Ukraine Waliokwama Zanzibar
Ukraine na Zanzibar wanafanya mazungumzo ya kuwasafirisha raia hao wapatao 900 mpaka nchini Poland ambayo kwa sasa inapokea wakimbizi wengi kutoka Ukraine.

Ukraine na Zanzibar wanafanya mazungumzo ya kuwasafirisha raia hao wapatao 900 mpaka nchini Poland ambayo kwa sasa inapokea wakimbizi wengi kutoka Ukraine.

Drone moja inaripotiwa kuwa na uwezo wa kutafiti shamba moja la mpunga lenye ukubwa wa ekari 30 kwa muda wa dakika 20 tu. Picha zinazochukuliwa zinaweza kuchakatwa ndani ya muda huo huo ili kugundua na kutengeneza ramani ya mazalia ya mbu.

Ingawaje Rais Mwinyi ameahidi kuunda tume kushughulikia kesi za migogoro ya ardhi visiwani humo, Wazanzibari ambao wamekuwa wakihangaika na kesi hizo miaka nenda rudi hawana imani kama tume hiyo itakuwa na msaada kama itaundwa na watendaji wale wale ambao uadilifu wao ni wa kutiliwa mashaka.

The archipelago’s president says that already hoteliers serve Ukrainians without charging them with the government planning to consider the hoteliers in tax calculations and payment.

Kumekuwapo na tuhuma kwamba katika utekelezaji wa majukumu yao Masheha wamekuwa wakikipendelea chama cha CCM na wakila njama za kuvidumaza vyama vya upinzani. Tuhuma hizi huibuka zaidi wakati wa michakato ya chaguzi kuu kuanzia utoaji wa kadi za Mzanzibari Mkaazi na usajili wa daftari la wapiga kura.

Ni kitabu cha Biubwa Amour Zahor: Mwanamke Mwanamapinduzi, kilichozinduliwa Novemba 6, 2021.

The foundation seeks to preserve the statesman’s contribution towards reconciliatory politics in Tanzania.

Ni kitendawili cha kuamua yupi ni mjasiriamali mdogo na yupi sio.

Mustafa Abubakar alizaliwa Muislam kabla ya kubadili dini na kuwa Mkristo lakini bila ya kubadilisha jina alilopewa na baba yake.

Wananchi wadai hatua ya Serikali kutowafikisha kwenye vyombo vya sheria watu wanaoshukiwa kufanya vitendo hivi inapelekea kushamiri kwake.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved