
Mkwamo wa Kisiasa Nchini: Wakati wa Kujenga Muungano wa Kitaifa Dhidi ya Ukandamizaji ni Sasa
Historia inaonesha kwamba hakuna mfumo kandamizi unaoanguka kwa sababu ya malalamiko yaliyotawanyika ya wale wanaokandamizwa.

Historia inaonesha kwamba hakuna mfumo kandamizi unaoanguka kwa sababu ya malalamiko yaliyotawanyika ya wale wanaokandamizwa.

Tanzania inapaswa kurekebisha Katiba yake na kuweka utaratibu utakaoziruhusu nchi zingine za Afrika, zinazotaka kufanya hivyo, kujiunga na Muungano.

As imperfect and flawed as the Union may be, we are stronger together!

Ismail Jussa anasema ‘Mamlaka Kamili’ haimaanishi wito wa kuvunja Muungano bali kuiwezesha Zanzibar kufaidi ‘mamlaka ya pamoja ya kidola.’

Tukio hili limeibua mjadala mkubwa katika mitandao ya kijamii, huku watu mbalimbali akiwemo mfanyabiashara ambaye ndizi zake zilikamatwa wakihoji muktadha mzima wa Muungano.

Mnyukano unaonekana ulikuwa mkali kwenye siasa za ndani ya Zanzibar tu, huku maoni ya wadau yakionekana kufanana linapokuja suala la Muungano.

Hofu ilitoa mchango mkubwa sana katika kufanikissha tukio hilo kubwa katika historia ya Tanzania.

“Kero ya msingi ni muundo wenyewe wa Muungano. [Huu] ni muundo ambao haukutupa Muungano ambao una nchi zilizoungana zina hadhi sawa, zina haki sawa, zina wajibu sawa, zinanufaika sawa, [na] zina fursa sawa”.

Utupaji holela wa taka umesababisha kuibuka kwa ‘madampo bubu’ kwa baadhi ya mitaa jijini Dodoma.

Mahakama imeeleza kuwa katika hatua ya sasa haiangaalii kiundani uzito wa ushahidi au kuaminika kwa ushahidi bali uhusiano uliyopo kati ya ushahidi uliotolewa na shtaka lililopo na mshtakiwa