Mabadiliko ya Katiba Yatajwa Kuwa Suluhu ya Uchaguzi Huru na wa Haki
Wadau wanasema ili chaguzi zijazo ziwe huru na za haki ni lazima mabadiliko ya Sheria yaliyofanyika yaende sambamba na mabadiliko madogo ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.