
Search for Missing Two-Year-Old Albino Girl Intensifies; Three Detained
The police in Kagera region are holding three people including the father of the child in connection with the disappearance of a two-year-old albino girl, Asimwe Novath.

The police in Kagera region are holding three people including the father of the child in connection with the disappearance of a two-year-old albino girl, Asimwe Novath.

Wenyewe wasema nia yao siyo kupinga mradi, bali malipo ya fidia yasiyoendana na thamani za ardhi zao wanazopaswa kutoa kupisha mradi huo.

Wadau wanasema ili chaguzi zijazo ziwe huru na za haki ni lazima mabadiliko ya Sheria yaliyofanyika yaende sambamba na mabadiliko madogo ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.

Katika uchunguzi uliofanywa na The Chanzo kwa siku tofauti uwanjani hapo majira ya asubuhi iligundua kuzagaa kwa kondomu zilizotumika katika maeneo mbalimbali kando ya uwanja huo ikiwemo viunga vya shule za msingi Kitangiri.

Sababu ni ufinyu wa mapendekezo ya wadau yaliyoanishwa kwenye sheria za uchaguzi, CCM yasema mabadiliko hayajafika kikomo.

Mkenda: Vyuo Vikuu Vinahitaji Kweli Mijadala, Lakini Siyo ya Kiharakati Pekee

Ni wakati sasa vyombo vya usimamizi wa sheria kuboresha namna wanavyofanya ukamataji, upelelezi na uendeshaji wa kesi zinazohusu wanayamapori na haki jinai kwa ujumla,” Mahakama yaamuru.

Ngariba wanaotekeleza matukio haya wanatajwa kubuni njia mpya hasa hasa huko mkoani Singida na ili kuhakikisha kuwa ‘mila hiyo inafuatwa’

Mwathirika ambaye alikuwa mwanafunzi wa shule msingi Lemosho, akiwa anaishi nyumbani kwa mtumhumiwa alikuwa akisumbuliwa na tatizo la kutokwa na damu puani kwa muda mrefu jambo ambalo shemeji yake huyo alimweleza kuwa amerogwa na majirani ili awe tasa

TAKUKURU ilibaini kiasi cha Bilioni 1.2 kilichotwa kwa udanganyifu huku watumishi hao huku wakidanganya kuwa walikua wakiwalipa wakandarasi waliofanya shughuli mbalimbali katika halmashauri hiyo.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved