Kila la Heri Maandalizi ya Stars AFCON 2023
Ni muhimu kuikumbusha Taifa Stars kuhusu maandalizi ambayo ndiyo muhimu kujenga timu ambayo inastahili kuombewa kila la heri.
Ni muhimu kuikumbusha Taifa Stars kuhusu maandalizi ambayo ndiyo muhimu kujenga timu ambayo inastahili kuombewa kila la heri.
Ni wakati wa kuangalia tunaitumiaje michezo kama moja ya vitu muhimu kufanikisha mipango ya muda mrefu ya maendeleo na wakati mzuri ni huu wa kuandaa Dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2050.
Tukiendelea na mtindo wa kutimuatimua makocha, tutakuwa tunalea vikundi vya wachezaji ambavyo vina wasimamizi wa mazoezi na si wataalamu wa kufundisha soka.
Hersi atapaswa achore ramani ya wapi Chama cha Klabu Afrika kielekee, kuwa na maono ya changamoto zinazoweza kutokea na njia ya kuzitatua, na kuonyesha chama kitakuwa wapi miaka mitano ijayo.
Je, Serikali inajihusisha zaidi na mchezo wa mpira wa miguu kwa kuwa ndiyo maarufu na hivyo wanasiasa wanaweza kuutumia kujijenga?
Kunahitajika kanuni ya kulazimisha mizozo yote itatuliwe ndani kwanza kabla ya kupelekwa nje.
Kelele hizo zinatokana na wanachama, wapenzi na mashabiki kutoelewa nani ni nani katika mfumo mpya wa uendeshaji na umiliki wa klabu.
Wametuonyesha jinsi ya kuvaana na Al Ahly na hakuna shaka kwamba yapo mengi zaidi ya kujifunza kutoka kwa timu hiyo.
Mamlaka husika zizipitie kanuni zetu na kuanza kuondoa ule uridhaa uliojazana na kusababisha timu zicheze chini ya uwezo.
Fedha pekee haziwezi kupandisha kiwango cha soka bila ya utamaduni wa mchezo huu kuheshimiwa.
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved