Mgogoro Kati ya Wakulima, Wafugaji Wanukia Songwe
Wakulima walalamika wafugaji kuingiza mifugo yao kwenye mashamba; wafugaji wasema hawana pa kulisha mifugo yao.
Wakulima walalamika wafugaji kuingiza mifugo yao kwenye mashamba; wafugaji wasema hawana pa kulisha mifugo yao.
Ni baada ya kukosa vifaa na wataalamu wanaoweza kutoa huduma kwa wananchi. Serikali yatoa kauli.
Ni vijiji vya Rukwa na Udinde ambavyo wananchi wao wamelalamikia kuwa katika hatari ya kuuwawa na kujeruhiwa na mamba kwa kukosekana daraja katika Mto Kikamba.
Wakulima hao wamegoma kuuza kahawa hiyo kwa bei ya kati ya Sh4,600 na Sh5,100 kwa kilo wakitaka wauze kwa bei ya kati ya Sh7,100 na Sh7,500.
Wanasema kukosekana kwa biashara kunachangiwa na miundombinu isiyo rafiki.
Jiji linasema mbali na kuongeza faini pia litaongeza utolewaje wa elimu kwa umma.
Serikali inataka wakulima hao wadogo kuacha kulima kwenye mashamba yao ikidai mashamba hayo yapo kwenye eneo la Hifadhi ya Taifa ya Ruaha.
Serikali imetakiwa kuweka mikakati ya makusudi kukuza uzalishaji wa chakula kukabiliana na athari za mfumuko wa bei.
Watanzania 886 wamepoteza maisha kati ya Januari na Novemba 2022 kutokana na ajali za barabarani.
Kwa kuwawahisha wagonjwa hospitalini, huduma hiyo imepongezwa kwa uokoaji wake wa maisha.
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved