Kama Mzazi, Umejiandaaje Kuimarisha Uhusiano na Mtoto Wako 2024?
Watoto ni zawadi tuliyopewa na Mwenyenzi Mungu, Hivyo basi, wazazi na walezi tunapaswa kuwalea na kuwatunza watoto wetu kwa ukaribu kadri tuwezavyo.
Watoto ni zawadi tuliyopewa na Mwenyenzi Mungu, Hivyo basi, wazazi na walezi tunapaswa kuwalea na kuwatunza watoto wetu kwa ukaribu kadri tuwezavyo.
Kuanzia umri wa miezi sita, watoto wanaweza kuanza kupewa vyakula vya nyongeza pamoja na kunyonyeshwa, huku maziwa ya mama bado yakibaki kuwa chanzo kikubwa cha lishe.
Huwezi kuendesha gari kama gari lenyewe halina mafuta, hivyo huwezi ukaendesha familia yako kama inavyopaswa kama afya yako imedhoofika.
Watafiti wanaamini kuwa watoto wengi ambao wamejipangia malengo hua na motisha kubwa zaidi kutimiza malengo hayo.
Ili watoto waweze kuwa na mahusiano bora na marafiki zao pamoja na watu wanaowazunguka na kuwa watu wazima, wenye wajibu na busara, basi sisi kama wazazi inatupasa kuwafundisha maarifa mema yaliyopo katika jamii.
Hatupaswi kusubiri maafa yatokee ndipo tuone umuhimu wa kuchukua tahadhari kwani kinga ni bora kuliko tiba!
Kusafiri na watoto kunaweza kuwa na changamoto za hapa na pale, lakini ukiwa na maandalizi mazuri na mipango sahihi, wewe na familia yako mnaweza kuwa na safari yenye amani na furaha.
Ni muhimu kujitahidi kadri ya uwezo wako kuwa na aina ya malezi yanayojenga upendo, amani, ujasiri, uthubutu na thamani ndani ya mtoto wako bila kumsababishia madhara yoyote.
Tuelewe kwamba, malezi yanahitaji malengo na uvumilivu wa kutimiza malengo hayo.
Usiwe mzazi au mlezi wa kumkaripia mtoto mara kwa mara, au kumkataza kufanya vitu vyote kwa sababu kuna hatari itakayoweza kumpata
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved