
Serikali, Wadau Wabainisha Changamoto Zinazoikabili Tasnia ya Habari Tanzania
Ni pamoja na tasnia hiyo kutothaminiwa na kuheshimiwa kama zilivyo kwa tasnia nyengine nchini.

Ni pamoja na tasnia hiyo kutothaminiwa na kuheshimiwa kama zilivyo kwa tasnia nyengine nchini.

Mamlaka visiwani humo zinasema kama kuna mtu mmoja hafurahishwi na jambo linaloweza kunufaisha watu 500, Serikali itaenda na watu 500.

The rights organisation insist on the broad participation of Tanzanians in the constitution-making process, saying that is what will give the final product the legitimacy it needs.

Chama hicho kinalitaka Bunge kuwafukuza kutoka bungeni waliokuwa wanachama wake 19 ambao pia ni Wabunge wa Viti Maalum.

Mkuu wa Majeshi anataja kipindi hicho kama moja ya vipindi vigumu sana wakati wa uongozi wake jeshini.

Ufaransa imekuwa ikitumia utaratibu jumuishi ambapo wenyeji na mamlaka za Serikali hushirikiana katika kuhakikisha kwamba maliasili zinahifadhiwa na manufaa kwenda kwa wenyeji na Serikali kwa pamoja.

Ni yule mwandishi aliyemuhoji kada wa CCM ambaye alidai kwamba hadhani Rais Mwinyi anapaswa kuwa Rais wa Zanzibar baada ya 2025.

Wanasema bajeti haiakisi mchakato unaoendelea nchini wa kudai mageuzi ya kisiasa.

Chama hicho kinadai bajeti imeshindwa kutoa muelekeo sahihi ambao Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inaelekea.

Maswaibu hayo yanajumuisha udanganyifu, unyonywaji, manyanyaso na hata kifo.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved