
2025 ni Samia Vs Lissu?
akamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ametangaza kuwa tayari amekiandikia chama chake juu ya nia ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama chake.

akamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ametangaza kuwa tayari amekiandikia chama chake juu ya nia ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama chake.

Kwa mujibu wa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana CHADEMA, Moza Ally mabasi 20 yalizuiwa Iringa, Makambako na Mtera, wakitokea mikoa mbalimbali.

Enock John Chambala (41) ni mfanyabiashara wa Mkonge huko jijini Tanga anasemekana kutoweka toka Julai 06,2024

Mwabukusi ameibuka kidedea kwa kupata kura 1,274 mbele ya mgombea Sweetbert Nkuba aliyepata kura 807 Jumla ya wapiga kura wote walikuwa ni 2,206

Treni hiyo ilisimama kwa muda wa saa mbili kati ya stesheni ya Kilosa na Kidete hapo jana Julai 30,2024

Mamlaka hiyo imeeleza haya ikijibu barua ya wadau wa Kikundi Kazi Cha Masuala ya Mitandao (IGTWG)

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana amejiuzulu nafasi yake leo Julai 29,2024.

Katika makubaliano hayo Tanzania itatakiwa kumalizia kiwango kilichobaki kwa awamu mbili, ambapo mpaka Oktoba 24 itatakiwa kulipa dola milioni 25 na ifikapo Machi 30,2025, itatakiwa kulipa dola milioni 30.

Kampuni ya kutuma na kupokea fedha ya NALA iliyoanzishwa na Mtanzania Benji Fernandes imepata uwekezaji wa dola za kimarekani milioni 40 sawa na Sh. bilioni 100. Ikiwa ni

Taarifa za sensa za mwaka 2022 zinaonesha ndoa zimeongezeka kutoka asilimia 51.1 ya watu wote wenye umri wa kuoa na kuolewa kwa takwimu za sensa mwaka 2012 mpaka asilimia 51.4 kwa sensa ya 2022.