
Waraka wa Maaskofu Katoliki Kupinga Mkataba Bandari Wasomwa Makanisani Tanzania
Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki uliotolewa Agosti 18,2023, kupinga mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai,umesomwa leo katika misa mbalimbali za Kanisa Katoliki nchi nzima.






