Tume Yataka Mkakati wa Kitaifa Kubaini, Kuzuia Uhalifu Tanzania
Mkakati huo, pamoja na mambo mengine, ungeainisha majukumu ya taasisi mbalimbali pamoja na vyombo vya utekelezaji na jamii kwa ujumla.
Mkakati huo, pamoja na mambo mengine, ungeainisha majukumu ya taasisi mbalimbali pamoja na vyombo vya utekelezaji na jamii kwa ujumla.

Mwabukusi anatakiwa kupeleka utetezi wake katika Kamati ya Maadili ya Mawakili ndani ya siku ishirini na moja. Kama utetezi wake hautakubalika moja ya adhabu inayotegemewa katika shauri hili ni kuvuliwa uwakili kwa kuondolewa katika orodha ya mawakili Tanzania.

Uratibu ni muhimu kuhakikisha juhudi za kitaifa zinazaa matunda pamoja na ushiriki wa sekta binafsi.

Ulinzi wa mazingira usifanyike kwa gharama za maisha na haki za wanajamii.

Ni muhimu Tanzania kuendesha shughuli zake za kiuchumi kwa namna inayopunguza utegemezi wake kwenye tabianchi, ikiwemo kufanya kilimo cha umwagiliaji.

Wanasayanasi wanakubaliana kwamba mabadiliko ya tabianchi yanatokea na yanatokea kwa kasi kubwa na kuathiri shughuli za binadamu katika kujiletea maendeleo yake.

Awataka watoe hoja zenye mantiki na siyo kujificha kwenye kivuli cha Mwalimu Nyerere.

Utegemezi wetu katika tabianchi ya eneo kwa ajili ya kufanya kilimo chetu ndiyo inapelekea kwamba tunaathirika zaidi kama wananchi.

Asema hana matumaini na kizazi cha sasa katika kujenga jamii mpya, ataka nguvu ziwekezwe kwa vizazi vijavyo.

Apigia chapuo Kiingereza kutumika kama lugha ya kufundishia, akisema ni muhimu kwa Watanzania kujifunza lugha nyingi za kigeni kadiri inavyowezekana.