
Zanzibar Yafafanua Madai ya Ubadhirifu Uuzwaji Nyumba za Serikali Mji Mkongwe
Yafuatia madai ya ACT-Wazalendo kwamba zoezi hilo limegubikwa na “kukosekana uwazi, maamuzi ya ubabaishaji na kukosekana uadilifu.”

Yafuatia madai ya ACT-Wazalendo kwamba zoezi hilo limegubikwa na “kukosekana uwazi, maamuzi ya ubabaishaji na kukosekana uadilifu.”

Kwa sababu wao ndiyo waajiri wa Serikali, wananchi wanapaswa kuhakikisha Serikali yao inafanya mambo yanayokidhi maslahi na matakwa yao, na siyo vinginevyo.

Julai 7 ya kila mwaka imetengwa kama Siku ya Kiswahili Duniani kwa lengo la kuchagiza ukuaji na ueneaji wa lugha hiyo inayozungumzwa na watu wapatao milioni 200.

Serikali inakusudia kuhama kutoka kwenye mfumo wa kununua kulingana na bei za wazabuni waliopatikana katika mchujo wa zabuni kwenda kwenye mfumo wa kununua kulingana na bei halisi katika soko.

Tuwekeze katika Kiswahili na elimu bora ili tupate wahitimu wa shule na vyuo ambao ni wadadisi na wanaoweza kuhaurisha maarifa waliyoyapata kwa manufaa yao na jamii.

ACT-Wazalendo inashauri kuundwa kwa kampuni yenye kumilikiwa kwa ubia kati ya wenyeji waNgorongoro na Serikali.

Ruzuku za pembejeo ni sehemu tu ya misaada ya serikali kwa wakulima hususani wadogo ambao ndio wanaunda sehemu kubwa ya uzalishaji wa mazao nchini.

Mazungumzo na Wakili Ben Ishabakaki

Wakazi wa Arusha wamejikuta katika wimbi la hofu baada ya wimbi baada ya mtu anayevamia nyumba na kubaka kuibuka tena

Vijana wanaosadikika kuwa ni kundi la kihalifu linalojulikana kama “Panya road” wavamia mtaa wa Gogo, Kata ya Zingaziwa Chanika
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved